Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Umeisoma ripoti ya leo kuhusu chai na chakula kwenye bunge la katiba?....Kikombe cha chai wanalipiwa elfu 10 kwa siku, msosi Elfu 16 kwa kila mjumbe

$
0
0
Gazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama mbalimbali zinazotumiwa na Wajumbe.  Wameandika bunge la katiba lateketeza mamilioni ya fedha ambapo kikombe cha chai na biskuti au karanga kinalipiwa shilingi elfu 10 kila siku kwa kila Mjumbe mmoja licha ya kwamba kila Mjumbe anapokea posho ya siku ambayo ni laki

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>