Polisi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara
moja, aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi, Jumapili iliyopita
alimgonga mtoto wa kike, Zahara Almeda katika barabara ya Mji Mpya mkoani Morogoro.
Katika tukio ambalo mwandishi wa habari hizi alilishuhudia, mara tu
baada ya kumgonga mtoto aliyekuwa akitoka sokoni kununua magimbi na
mihogo, askari huyo aliteremka na kukimbia
↧