WANAUME WA KENYA WAZIDI KUNYANYASWA.....MWAMAUME MWINGINE APIGWA VIBAYA NA MKEWE
Ni ngumu kumuona mwanaume akitokwa machozi kama hivi…. hii imetokana na mke wake kumpiga makofi hadharani kwenye mji wa Meru nchini Kenya ambapo Mwanamke huyo alikua anadai jamaa kamkana, japo...
View ArticleMOTO WAUA WATU WANNE WA FAMILIA MOJA JIJINI MWANZA ......BAADA YA KULA DAKU...
WATU wanne wa familia moja, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana. Ajali hiyo ilitokea eneo la Lumala Mashariki wilayani...
View ArticleTANZANIA YAMJIBU RAIS KAGAME....YADAI IPO TAYARI KWA LOLOTE NA AKITHUBUTU...
SERIKALI ya Tanzania imeipa onyo kali nchi ya Rwanda ikiitaka isijaribu kuota ndoto za kuishambulia kijeshi, vinginevyo itajibu mapigo kwa nguvu zote na kuhakikisha kuwa imeichakaza. Kauli hiyo ya...
View ArticleSERIKALI YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA CHINI VYA MISHAHARA KISEKTA
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka...
View Article"KILA MTANZANIA NI LAZIMA ALIPIE SH. 1000 KWA AJILI YA KADI YA SIMU...
SERIKALI imesisitiza kuwa itatoza Sh 1,000 kwa kila kadi ya simu inayotumika lakini pia inaangalia utaratibu wa kufanya makato hayo kwa njia ambayo haitamuumiza mtumiaji wa simu. Akizungumza jana...
View ArticleVIDEO YA WEMA SEPETU AKIPIGWA MATE YAVUJA.....
Video inayomuonesha staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidendeka na mwanaume imevuja mtandaoni... Haikuweza kufahamika mara moja lengo la Wema na mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Aidany...
View Article"NAOLEWA KWA AJILI YA STAREHE ZA MAPENZI NA SI KWA AJILI YA KUZAA"...NATASHA...
MWIGIZAJI mkongwe wa maigizo na filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ambaye pia ni mtangazaji wa Radio Times FM, anayetarajia kufunga ndoa kesho, amefunguka kuwa anaoelewa kwa ajili ya kustarehe na siyo...
View ArticleMASHABIKI WAMVAA PREZZO BAADA YA KUMPONDA MSANII DIAMOND WA TANZANIA
Msanni Prezzo wa Kenya atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10. Sample ya...
View ArticleIRENE UWOYA ALIA NA ULIMBUKENI WA PENZI LA MSANII DIAMOND.....
Kufuatia kuripotiwa kwa habari iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" , mwanadada Irene Uwoya ameamua kuvunja ukimya na kueleza dukuduku lake la moyoni.... Habari hiyo...
View Article"RED BRIGADE YA CHADEMA NI KUNDI LA KIGAIDI"....MWIGULU NCHEMBA
Watanzania wenzangu, Ni dhahiri kumekuwa na mijadala kadha wa kadha kuhusu vyama vya siasa kuwa na vijana wao wa kuwa linda. Nilionesha tofauti baina ya red brigade na greenguard. Wanaojitetea...
View ArticleMADHARA YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI....
Katika makala zetu ya maradhi ya ngozi tumeangalia maradhi ya ngozi yanayosababishwa na fangasi. Leo tuangalie fangasi wanaoshambulia sehemu za siri, yaani Tinea cruris. Fangasi wa maungo ya siri...
View ArticleJESHI LA POLISI LATEUA ASKARI WA KUMFUATA AGNESS MASOGANGE ALIYENASWA NA...
Jeshi la Polisi litapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji washiriki wa video za wasanii wa muziki wa Bongo fleva, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mwenzake Melisa Edward waliokamatwa nchini humo na dawa...
View Article"WAPINZANI BADO NI WACHANGA SANA KUWARUHUSU WAINGIE IKULU"... MKAPA
RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa, ameonyesha wazi kutoridhishwa na mwenendo wa matukio ya uvunjifu wa amani hivi sasa. Mkapa, mmoja wa viongozi ambao wanajiamini katika kauli zao, amewataka...
View ArticleBABU ANAYETAKA KUMFUFUA MWALIMU NYERERE AGEUKA GUMZO
Mzee (pichani) aliyeibuka hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere amezua gumzo. Babu huyo aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani Mbeya akihitaji...
View Article"RED BRIGED NI LAZIMA IANZISHWE...MBONA CCM NA CUF WANA KUNDI LAO?"...CHADEMA
SINGO BENSON Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitarudi nyuma katika mpango wa kutoa mafunzo ya ukakamavu kupitia kikundi chake cha red brigade. Chama hicho kimesema, tayari...
View ArticleMPENZI WA NAY WA MITEGO AIPOTEZA MIMBA YAKE BAADA YA KUANGUKA
Rapper Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni kubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku. “Jana usiku...
View ArticleCHADEMA YABEBA KATA ZOTE NNE ZA ARUSHA
Uchaguzi uliofanyika jana Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza...
View ArticleBINTI KIZIWI ATUPWA JELA MIAKA MITANO BAADA YA KUNASWA NA MADAWA YA KULEVYA
MTANDAO wa wauza madawa ya kulevya unazidi kupukutika Bongo kufuatia madai ya kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujishughulisha na ubebaji ‘punda’ wa biashara hiyo haramu. Hivi karibuni, Video Queen wa...
View ArticleJOHN TENDWA AZUNGUMZIA KWA VYAMA VYA SIASA
OFISI ya Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini imevitaka vyama vya siasa kutii agizo la kutoanzisha kambi za mafunzo ya kulinda amani maarufu kwa jina la mgambo , huku ikisisitiza kwamba itachukua...
View ArticleTAMKO LA RAIS KIKWETE KUHUSU VIFO VYA WANAJESHI 7 SUDANI
Tamko la Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuhusu tukio la DarfurRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kuhuzunishwa...
View Article