Msanni Prezzo wa Kenya atakuwa amepata
sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss
Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10.
Sample ya majibu hayo inaweza kuonekana kupitia comments
zote za fans kwenye habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini Kenya,
ambapo asilimia 99 wameonesha kutokubaliana na alichokifanya.
↧