Kufuatia kuripotiwa kwa habari iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" , mwanadada Irene Uwoya ameamua kuvunja ukimya na kueleza dukuduku lake la moyoni....
Habari hiyo ililipotiwa jana na magazeti ya udaku ikisimulia jinsi Diamond na Uwoya walivyonasana na hatimaye kuvunja amri ya sita....
Katika habari hiyo, msemaji ni Diamond na wapambe
↧