Watanzania wenzangu,
Ni dhahiri kumekuwa na mijadala kadha wa kadha kuhusu vyama vya siasa
kuwa na vijana wao wa kuwa linda.
Nilionesha tofauti baina ya red
brigade na greenguard. Wanaojitetea wakakimbilia Dictionary bila kutumia
muda kufuatilia historia na chimbuko la kikundi hicho ambacho jina ,
matendo na malengo yake yako sawasawa na kule kilikoanzia.
Lakini
mjadala mkubwa ni
↧