Katika makala zetu ya maradhi ya ngozi tumeangalia maradhi ya ngozi yanayosababishwa na fangasi. Leo tuangalie
fangasi wanaoshambulia sehemu za siri, yaani Tinea cruris.
Fangasi wa maungo ya siri (Tinea cruris)
Aina hii ya fangasi ndiyo inayofahamika zaidi na
Watanzania wengi zaidi ya aina nyinginezo. Aina hii pia
↧