Jeshi la Polisi litapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji
washiriki wa video za wasanii wa muziki wa Bongo fleva, Agnes Gerald
‘Masogange’ na mwenzake Melisa Edward waliokamatwa nchini humo na dawa
za kulevya.
Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya,
Godfrey Nzowa aliiambia Mwananchi kwa simu jana kuwa watawapeleka
polisi kuwahoji na wanaamini
↧