RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa, ameonyesha wazi kutoridhishwa na
mwenendo wa matukio ya uvunjifu wa amani hivi sasa.
Mkapa, mmoja wa
viongozi ambao wanajiamini katika kauli zao, amewataka Watanzania
kutochoka kusali na kuiombea nchi ili amani iendelee kutawala. Alisema
jukumu hilo linawahusisha watu, wakiwamo viongozi wa dini ambao wana
dhamana kubwa kwa waumini wao.Mkapa alitoa
↧