MWIGIZAJI mkongwe wa maigizo na filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’
ambaye pia ni mtangazaji wa Radio Times FM, anayetarajia kufunga ndoa
kesho, amefunguka kuwa anaoelewa kwa ajili ya kustarehe na siyo kwenda
kuzaa kama wengine wanavyofanya.
Akizungumza na mwandishi wetu, Natasha alisema kuwa katika maisha
yake hakuna kitu anachokichukia kama kubeba mimba na umri alionao ndiyo
kabisa
↧