Video inayomuonesha staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu
akidendeka na mwanaume imevuja mtandaoni...
Haikuweza kufahamika mara moja lengo la Wema na mwanaume huyo
aliyefahamika kwa jina la Aidany ‘kujishoot’ wakifanya vitendo hivyo ila
wanaonekana wakiwa katika mazingira ya ki-Mr & Mrs.
Aidha,
katika video hiyo, Wema anaonekana kutumia nguvu kubwa kumshawishi
Aidany amsogezee mdomo
↧