WATU
wanne wa familia moja, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya
nyumba waliyokuwa wakiishi, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana.
Ajali
hiyo ilitokea eneo la Lumala Mashariki wilayani Ilemela na ilitokana na
jiko la mafuta, ambalo halikuzimwa baada ya wanafamilia hao kula daku
usiku; matokeo yake, lililipuka alfajiri.
Kwa
mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,
↧