Ni ngumu kumuona mwanaume akitokwa machozi kama hivi…. hii
imetokana na mke wake kumpiga makofi hadharani kwenye mji wa Meru nchini
Kenya ambapo Mwanamke huyo alikua anadai jamaa kamkana, japo
anasisitiza kwamba ni mume wake na ndio baba wa watoto mapacha akiwemo
mmoja alienae mgongoni, Mwanaume alikataa kabisa na kusema hata watoto
sio wake.
Taarifa ambayo imerushwa na KTN Kenya, ni
↧