MMOJA wa wafanyabiashara maarufu nchini, Dk Reginald Mengi amesema
kwamba huwezi kutofautisha watoa rushwa wakubwa na mlipuko wa dawa za
kulevya, ambayo kwa sasa yanatikisa nchi.
Dk mengi ameyasema hayo wakati akizungumza moja ya vikwazo vikubwa
vya uwekezaji nchini katika mazungumzo ya sekta binafsi na umma kwenye
uzinduzi wa taarifa inayozungumzia uwekezaji nchini kwa jinsi
↧