AGNESS MASOGANGE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AFRIKA KUSINI
HATIMAYE wale Wanawake wawili walionaswa na madawa ya kulevya Afrika kusini wametambuliwa kuwa ni mabinti wa KITANZANIA .. Mabinti hao wanadaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye...
View ArticleCHANZO CHA KULEGEA KWA MISULI YA SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE ......( USHAURI...
Tatizo la kulegea kwa misuli ya sehemu za siri za mwanamke au kitaalamu Vaginal prolapsed huwatokea zaidi wanawake wenye umri mkubwa ingawa pia linaweza kuwakumba hata wenye umri mdogo....
View ArticleWATOTO WAWILI WALIOKUWA WAMEPELEKWA "JANDONI" WAMEFARIKI WA AJALI YA MOTO...
Lindi- Watoto wawili wamekufa na mmoja wao kunusurika mauti, baada ya kuungua kwa moto uliosababishwa na kibatari kilichounguza nyasi za kijumba walichokuwemo.Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Lindi, Renata...
View Article"JACK WOLPER ANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU....KAMA SANAA IMEMSHINDA...
MWIGIZAJI wa kike na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Baby Madaha Joseph amemshukia mwigizaji mwenzake wa kike Jack Wolper kwa kudai kuwa amekuwa akitumia vyombo vya habari kumsema na baadae...
View ArticleHUYO NDO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS...
Picha ya Mrembo Mellis Edward aliyedakwa na madawa ya kulevya Afrika kusini akiwa na Agness Masogange Mellis Edward Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa...
View ArticleCHADEMA YAJIPANGA KUIMARISHA KITENGO CHA ULINZI NA USALAMA " RED BRIGADE" ILI...
MUHTASARI Ili kukabiliana na vitendo vya fujo vinavyofanywa na vijana wa CCM dhidi ya wagombea, Wanachama na viongozi wa CHADEMA, Kamati Kuu imeagiza kwamba kitengo cha ulinzi cha Chama “Red Brigade”...
View Article"NASUBIRI WAKATI MWAFAKA WA KUMUONYESHA KIKWETE YA KWAMBA MIMI NI...
Nikiwa katika upekuzi wangu, nimeshtushwa sana na kauli za KIHUNI za Rais Paul Kagame dhidi ya Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla.... Rais Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa kukaa...
View ArticleZITTO KABWE AWATAKA WANANCHI WAGOME KUILIPA KODI YA SIMU YA SH....
Sakata la kodi ya line ya simu limeendelea kuwakuna wanasiasa wetu ambao wamekuwa wakifunguka kwa nyakati mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii.... Baada ya January Makamba, Zitto...
View Article"NITAENDELEA KUPAMBANA NA WABISHI WASIOTAKA KUHAMA ILI KUPISHA MIRADI YA...
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na wizara...
View Article"VYOMBO VYA HABARI HUWA VINAHONGWA NA WAPINZANI ILI VIWAANDIKE...
Spika wa Bunge, Anne Makinda, ameibuka na kauli yenye utata mkubwa akivituhumu vyombo vya habari kwamba vinahongwa na wabunge wa kambi ya upinzani ili viandike habari zao vizuri. Bila kufafanua ni kwa...
View ArticleWANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO- 2013
<!-- adsense --> Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai. Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika....
View ArticleMAMA MZAZI WA PROFESA JAY AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI DUNIA....
Picha kushoto ni Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake... Mama mzazi wa Msanii Profesa Jay amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kugongwa...
View ArticleMAMA AJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA NYANI.....
<!-- adsense --> Mwanamke mmoja amejikuta akimwaga machozi baada ya kumpoteza mwanaye dakika chache baada ya kujifungua.... Tukio hilo lilitokea siku ya jumatatu katika...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASHANGAA CHADEMA KUTAKA KAMBI YA KUJILINDA...DR. SLAA NAYE...
Rais wa Tanzania amewashangaa na kuwalaani CHADEMA kwa kutangaza kufundisha vijana namna ya kujilinda na kusema kuwa ni watu wa ajabu kama wamefikia huko. Mh. Rais kayasema hayo katika kuhitimisha...
View ArticleVIJANA WAVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI WAKIFURAHIA WIMBO WA MADEE " NANI KAMWAGA...
<!-- adsense --> Katika hali ya kushangaza, vijana wanne waliamua kuvua nguo zote na kucheza uchi wakifurahia wimbo wa "NANI KAMWAGA POMBE YANGU" VIDEO YAO: <<BOFYA...
View ArticleMWANAMKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA BAADA YA KUMTUPA MTOTO WAKE...
Mwanamke mmoja mkazi wa Manga A Jijini Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kutupa mtoto wake chooni. Tukio hilo lilitokea Juni 14, Mwaka huu katika eneo hilo baada ya watoto...
View ArticlePREZZO AMPONDA DIAMOND....
Majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show hiyo hayajampendeza Rapcellency na sasa ameamua kujibu. Prezzo ambaye jina...
View ArticlePAJA LA WEMA SEPETU LAFANANISHWA NA NGOZI YA "KITI MOTO"
Baada ya mtandao huu kutupia picha ya paja la wema sepetu na kuelezea jinsi lilivyoharibiwa na MIKOROGO, wadau mbali mbali wamekuwa wakitoa maoni yao na kudai kuwa Ngozi ya...
View ArticleDIVA WA CLOUDS FM AJIPIGA TATOO YA KICHINA KIUNONI...
Katika kile kinachotafsriwa kuwa ni harakati za kulimwagilia maji na marashi penzi lake kwa prezzo, Diva wa clouds fm sasa ameamua kujipiga TATOO YA KICHINA kiunoni ili...
View ArticleMENGI AELEZA UHUSIANO WA RUSHWA NA DAWA ZA KULEVYA.....
MMOJA wa wafanyabiashara maarufu nchini, Dk Reginald Mengi amesema kwamba huwezi kutofautisha watoa rushwa wakubwa na mlipuko wa dawa za kulevya, ambayo kwa sasa yanatikisa nchi. Dk mengi ameyasema...
View Article