Majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la
Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show hiyo
hayajampendeza Rapcellency na sasa ameamua kujibu.
Prezzo
ambaye jina lake halisi ni Jackson Makini alianza kwa kuweka picha ya
gazeti inayowaonesha akiwa na Diamond kwenye habari iliyohusu tamasha
hilo na kuandika ‘Hahahaha #DomoSeriously????
Rapper
huyo
↧