Baada ya mtandao huu kutupia picha ya paja la wema sepetu na kuelezea jinsi lilivyoharibiwa na MIKOROGO, wadau mbali mbali wamekuwa wakitoa maoni yao na kudai kuwa Ngozi ya paja hilo sasa haina tofauti na ngozi ya kiti moto ( ngurume)
Wema Sepetu ni miongoni mwa wasanii walioathiriwa sana na Mikorogo.Matumizi ya madawa ya kujichubua yamemfanya
↧