Mwanamke mmoja mkazi wa Manga A Jijini Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kutupa mtoto wake chooni.
Tukio
hilo lilitokea Juni 14, Mwaka huu katika eneo hilo baada ya watoto
waliokuwa wakicheza kugundua kuwepo kwa Mtoto katika choo cha shimo.
Mtuhumiwa baada ya kukamatwa amekiri kutenda kosa hilo na kwamba alifanya hivyo baada ya mzazi mwenzie
↧