<!-- adsense -->
Muhula wa
kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza
mwezi Julai.
Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na
walimu kwa masomo husika.
Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu
wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na
kutoa taarifa kwa uongozi wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa
walimu
↧