Picha kushoto ni Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary
Majanjara Haule enzi za uhai wake...
Mama mzazi wa Msanii Profesa Jay amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kugongwa na gari maeneo ya mbezi juu jijini Dar alikokuwa anaishi na mwanae.
Habari zinadai kwamba, marehemu Bi. Rosemary Manjara Haule aligongwa na gari akiwa anavuka barabara
↧