MWIGIZAJI wa kike na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Baby
Madaha Joseph amemshukia mwigizaji mwenzake wa kike Jack Wolper kwa
kudai kuwa amekuwa akitumia vyombo vya habari kumsema na baadae
kujifanya anamuomba msamaha huku hana dhamira ya kweli.
Akiongea na FC
, msanii huyo amesema kuwa Jack Wolper anatumia jina lake ili apande na kuwa Maarufu (nyota ).
“Mimi ni mwanamke mpigaji
↧