Lindi- Watoto wawili
wamekufa na mmoja wao kunusurika mauti, baada ya kuungua kwa moto
uliosababishwa na kibatari kilichounguza nyasi za kijumba walichokuwemo.Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Lindi, Renata Mzinga amesema ajali hiyo ilitokea mwishoni mwa wiki jana katika
mtaa wa
Mitwero, katika kata ya Rasbura ya Manispaa ya Lindi na kuwataja
waliokufa kuwa ni Maliki Kasimu (7) na na
↧