Tatizo
la kulegea kwa misuli ya sehemu za siri za mwanamke au kitaalamu Vaginal prolapsed huwatokea zaidi wanawake wenye umri mkubwa ingawa pia linaweza
kuwakumba hata wenye umri mdogo. Tunapozungumzia kulegea kwa misuli ya
sehemu za siri hapa kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli hiyo.
Tukizungumzia
kulegea ina maana misuli ya ukeni inashindwa kubana na kuachia njia.
Hapa misuli
↧