Rais wa Tanzania amewashangaa na kuwalaani CHADEMA kwa kutangaza
kufundisha vijana namna ya kujilinda na kusema kuwa ni watu wa ajabu
kama wamefikia huko.
Mh. Rais kayasema hayo katika kuhitimisha kongamano la amani huku bwana Cheyo nae akisema kuwa hata kama ni kutaka kuwa rais wa nchi CHADEMA wamefika
kubaya....
Wakati mh. Rais akiwashangaa CHADEMA,Katibu Mkuu wa chama hiyo, Dr
↧