Nikiwa katika upekuzi wangu, nimeshtushwa sana na kauli za KIHUNI za Rais Paul Kagame dhidi ya
Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla....
Rais Kikwete
ameepuka malumbano na Kagame kwa kukaa kimya , lakini inaelekea Kagame anadhani
ukimya wa Kikwete ni uoga kwake au labda anatafsiri kuwa anadharauliwa.....
Nadhani huu ni wakati mwafaka kwetu sisi watanzania kuungana
↧