MUHTASARI
Ili
kukabiliana na vitendo vya fujo vinavyofanywa na vijana wa CCM dhidi ya
wagombea, Wanachama na viongozi wa CHADEMA, Kamati Kuu imeagiza kwamba
kitengo cha ulinzi cha Chama “Red Brigade” kiimarishwe zaidi kwa
kuhakikisha kuwa vijana wote wa Red Brigade Nchi nzima wanapewa mafunzo
maalum ya UKAKAMAVU yatakayoandaliwa katika Makambi maalum katika mikoa
yote.
RIPOTI KAMILI
↧