WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au
kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya
kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na wizara yake.
Katika hilo, tayari amekwishatangaza uamuzi mzito wa kuruhusu
kampuni ya ujenzi ya Jaspal Singh, kujenga barabara kwa kiwango cha lami
kwa kuzizunguka nyumba za wakazi waliogoma
↧