SINGO BENSON
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitarudi
nyuma katika mpango wa kutoa mafunzo ya ukakamavu kupitia kikundi chake
cha red brigade.
Chama hicho kimesema, tayari Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha
Wananchi (CUF), vyote vikiwa miongoni mwa `vyama vikubwa nchini’, vina
vikundi vya aina hiyo.
Mkurugenzi wa Oganizasheni na Mafunzo Chadema, Singo
↧