Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara
kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni
kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa
Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi
cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa
↧