Tamko la Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuhusu tukio la DarfurRais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kuhuzunishwa
sana na tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa vijana saba hodari wa Jeshi
la Wananchi wa Tanzania waliokuwa wanalinda amani katika eneo la Darfur,
Sudan.Kwa hakika, Rais amesikitishwa sana na
↧