OFISI ya
Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini imevitaka vyama vya siasa kutii
agizo la kutoanzisha kambi za mafunzo ya kulinda amani maarufu kwa jina
la mgambo , huku ikisisitiza kwamba itachukua hatua za kisheria kwa
chama chochote kitakachoiuka , ikiwemo kukifuta.Aidha ofisi hiyo
imesema kuwa Katiba ya nchi imempa jukumu kila mwananchi kulinda
amani na usalama wa nchi, pia
↧