MTANDAO wa wauza madawa ya kulevya unazidi kupukutika Bongo kufuatia
madai ya kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujishughulisha na ubebaji
‘punda’ wa biashara hiyo haramu.
Hivi karibuni, Video Queen wa Wimbo wa Masogange, Agnes Gerald
‘Masogange’ amedaiwa kunaswa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ akiwa na kilo
mia moja na hamsini za unga unaoaminika ni sehemu ya madawa ya kulevya. Ameshapanda
↧