Uchaguzi uliofanyika jana Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani
wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha
umemalizika.Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi
washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa
kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA 2,665;
↧