BINTI ABAKWA NA KUCHOMEKWA MIWA SEHEMU ZA SIRI
Mdada mwenye miaka 9 mkazi wa kijiji kimoja nchini brazil,mapema wikiendi hii amebakwa karibu na shamba la miwa na watu wanaoaminika kuwa ni watumiaji wa madawa ya kulevya... Baada ya kumbaka,...
View ArticleODAMA AWAJIBU WANAOMTUHUMU KUZIFANYIA " PHOTOSHOP " PICHA ZAKE NA KUDANGANYA...
Baada ya kuzagaa kwa habari zikimtumu mwanadada wa filamu Tanzania Jennifer Kyaka aka Odama kwamba huzifanyia makeke ya photoshop picha zake na kuwadanganya wananchi kuwa amezipigia Ulaya, ameongea na...
View ArticleMBOWE ATIWA MBARONI NA KUHOJIWA KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi dhidi ya jeshi hilo, vyombo vya dola na serikali...
View ArticleWANAJESHI WENGINE WATATU WA TANZANIA WAFARIKI DUNIA HUKO SUDANI, MAPIGANO...
WINGU zito limetanda kwa askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), katika nchi za Sudani Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Wakati Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya...
View ArticleDALADALA YANUSURIKA KUINGIA BUCHANI MWENGE
Daladala lenye namba za usajili T 741 AEG baada ya kuhama njia na kuparamia mtaro uliopo jirani na bucha eneo la Mwenge. Daladala lenye namba za usajili T 741 AEG linalofanya safari zake kati ya Temeke...
View ArticleHATIMAYE LUDOVICK JOSEPH NAYE AACHIWA KWA DHAMANA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia kwa dhamana Ludovick Joseph anayeshitakiwa pamoja na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema Wilfred Lwakatare, baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miezi...
View ArticleDRC NI UWANJA WA VITA KATI YA TANZANIA NA RWANDA ( PROX WAR)
PROX WAR au Proxy Warfare ni vita inayopiganwa kwa kupitia sehemu nyingine. Katika vita 'ya kawaida' mapigano huwa kati ya nchi na nchi.Kwa mfano, Vita ya Kagera ilkuwa kati ya Tanzania na Uganda, na...
View ArticleUKATILI: VIDEO YA MATESO YA KIJANA MWIZI AKISULUBIWA NA WANAKIJIJI BAADA YA...
<!-- adsense --> Huyu ni mwizi aliyenaswa na wanakijiji nchini Uganda akijaribu kuvunja dirisha la nyumba ili aibe.... Wanakijiji walipomnasa walianza kwa kumpa kichapo...
View ArticleAUNT EZEKIEL AMTOSA MUMEWE
Wengi walitegemea kuwa Aunt Ezekiel ataungana na mumewe Sunday katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini hali imekuwa ni tofauti.... Aunt anayetumia jina la Rahma...
View ArticleVIDEO: ILI UWE MWALIMU NI LAZIMA UWE "BAUNSA" KIASI HIKI??
Mwalimu akitumia nguvu ya ziada kuwakabili wanafunzi waliokuwa wamechelewa kuingia darasani... Haijaweza kufahamika mara moja kuhusu mahali ilipo shule hii
View ArticlePICHA: WANAJESHI WA TANZANIA WALIO UAWA DARFUL WAAGWA
Capt. John Kivunge, a Tanzanian Staff Officer with JOC, reads a program of the brief ceremony. Prayers from a chaplain.Prayers from an Imam for the fallen peacekeepers. Military salute as the 'Last...
View ArticleRAIS OMARI AL BASHIR WA SUDANI ATOROKA NIGERIA BAADA MBINU ZA KUMKAMATA KUVUJA
Rais Omari Al Bashir wa Sudan jana alilazimika kutoroka nchini Nigeria baada ya mikakati ya kumkamata kuvuja.. Rais Bashir aliyekuwa anahudhuria mkutano wa viongozi wa serikali za nchi...
View ArticleWITO WA KUPINGA KODI YA LAINI YA SIMU KILA MWEZI KUFUATIA MABADILIKO YA...
<!-- adsense --> Sisi wananchi hatujashirikishwa kupitia mjadala wa Bunge kuhusu kodi hii kwani Waziri wa fedha hakusoma hiki kipengele wakati wa hotuba yake na tulikosa taarifa mpaka baada ya...
View ArticleJAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA , BUXTON CHIPETA AFARIKI DUNIA
Jaji Buxton Chipeta. Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu Tanzania, Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi uliopita. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, Jaji...
View ArticleMWEZI WA RAMADHANI WAMFANYA WEMA ABADILIKE TENA
KUFUATIA Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au maarufu kama Madam amebadilika na kuondoa vitu vyote visivyo vya asili mwilini mwake. Wema alitupia...
View Article"NIMECHOSHWA NA WANAUME MASHAROBARO WA TANZANIA....BORA WANIGERIA WANAJUA...
Mlimbwende aliyewahi kung’ara katika Shindano la Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian anadaiwa kuangukia kimapenzi kwa mtoto wa Balozi wa Nigeria nchini China aliyemtaja kwa jina moja la Allen anayetaka...
View Article"SIWEZI KUMUOMBA MSAMAHA DIAMOND KWENYE TWITTER"...PREZZO
Rapcellency, Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye Twitter kwakuwa anaamini hakuna alichomkosea na ni jambo la kitoto. Akiongea jana mchana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio...
View ArticleJAJI AJITOA KUENDESHA KESI YA MAUAJI YA PADRI MUSHI
Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi imechukua sura mpya, kufuatia Jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaac Sepetu kujitoa baada ya upande wa utetezi kuwasilisha ombi la mshatikiwa Omar Mussa...
View ArticleNAPE AKWEPA KUZUNGUMZIA MATOKEO UDIWANI ARUSHA..."WAULIZENI VIONGOZI WA CCM...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema...
View ArticleKWA NINI CCM IKIHOFIE CHADEMA??
TANGU kuanzishwa kwa vyama vingi nchini mwaka 1992, tayari chaguzi nne zinazoshirikisha vyama vingi zimefanyika. Katika chaguzi hizo nne, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kushika dola kwa...
View Article