Rapcellency, Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye
Twitter kwakuwa anaamini hakuna alichomkosea na ni jambo la kitoto.
Akiongea jana mchana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen,
kinachoendeshwa Mzazi Willy M. Tuva, Prezzo amesema Diamond ndiye
aliyemchokoza baada ya wasanii hao kutumbuiza mwanzoni mwa mwezi huu
kwenye tamasha la Matumaini.
Prezzo anadai
↧