Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi imechukua sura mpya, kufuatia
Jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaac Sepetu kujitoa baada ya
upande wa utetezi kuwasilisha ombi la mshatikiwa Omar Mussa Makame
kutokuwa na imani naye.Akisoma uamuzi baada ya kupokea maombi ya
upande wa utetezi, ambayo yaliwasilishwa Julai 2 mwaka huu, Jaji Mkusa
amesema kwamba uamuzi wa mshtakiwa ni haki yake
↧