Mlimbwende aliyewahi kung’ara katika Shindano la Miss Kiswahili 2009,
Rehema Fabian anadaiwa kuangukia kimapenzi kwa mtoto wa Balozi wa
Nigeria nchini China aliyemtaja kwa jina moja la Allen anayetaka kufunga
naye ndoa.
Akichati na mwandishi wetu, kwa njia ya mtandao,
Rehema alikiri kuwa na mwanaume huyo ambaye ni mtu mzima na kweli ni
mtoto wa balozi huyo.
“Nimechoshwa na
↧
"NIMECHOSHWA NA WANAUME MASHAROBARO WA TANZANIA....BORA WANIGERIA WANAJUA KUPENDA"...REHEMA FABIAN
↧