KUFUATIA Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa Filamu za Kibongo, Wema
Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au maarufu kama Madam amebadilika na kuondoa
vitu vyote visivyo vya asili mwilini mwake.
Wema alitupia picha yake
kwenye mtandao wa kijamii akionekana amekata nywele zote huku akiwa
ameondoa kope za bandia na kutoa kucha alizobandika kuashiria kuuheshimu
mwezi huu huku akibaki na kila kitu
↧