Jaji Buxton Chipeta.
Habari
zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu
Tanzania, Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Kwa
mujibu wa mmoja wa wanafamilia, Jaji Chipeta alikuwa akisumbuliwa na
maradhi ya kisukari ambapo ilifikia wakati akalazimika kukatwa vidole
kadhaa vya miguuni.
Enzi za uhai wake, Jaji Chipeta aliweza
kujijengea heshima
↧