<!-- adsense -->
Sisi
wananchi hatujashirikishwa kupitia mjadala wa Bunge kuhusu kodi hii
kwani Waziri wa fedha hakusoma hiki kipengele wakati wa hotuba yake na
tulikosa taarifa mpaka baada ya kupitishwa kwa sheria ya kodi hii.
Kodi hii inamkandamiza mtanzania wa hali ya kawaida na wa hali ya chini
ambao ni 67% ya wananchi wanaoishi chini ya kipato cha dola 1.25 (shs
2,000) kwa siku
↧