PROX WAR au Proxy Warfare ni vita inayopiganwa kwa kupitia sehemu
nyingine. Katika vita 'ya kawaida' mapigano huwa kati ya nchi na
nchi.Kwa mfano, Vita ya Kagera ilkuwa kati ya Tanzania na Uganda, na
mapambano yalitokea katika nch zote mbili.
Katika
proxy war hali ni tofauti. Nchi A inaweza kupigana vita na nchi B
katika nchi C.Yaani kwa ufasaha zaidi, kwa mfano, kuna mapambano
↧