MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia kwa dhamana Ludovick Joseph
anayeshitakiwa pamoja na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema
Wilfred Lwakatare, baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miezi minne.Ludovick
aliachiwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Aloyce Katemana baada ya kutimiza
masharti ya dhamana yaliyotolewa Juni 10 mwaka huu.Washitakiwa
hao waliofikishwa mahakamani kwa mara ya
↧