Daladala lenye namba za usajili T 741 AEG baada ya kuhama njia na kuparamia mtaro uliopo jirani na bucha eneo la Mwenge.
Daladala lenye namba za usajili T 741 AEG linalofanya safari zake kati
ya Temeke na Mwenge asubuhi hii nusura liingie katika bucha iliyopo
maeneo ya Mwenge jijini Dar katika barabara iendayo Afrika Sana.
Daladala hilo lilisaidiwa na mtaro uliopo
↧