Baada ya kuzagaa kwa habari zikimtumu mwanadada wa filamu Tanzania
Jennifer Kyaka aka Odama kwamba huzifanyia makeke ya photoshop picha
zake na kuwadanganya wananchi kuwa amezipigia Ulaya, ameongea na na mwandishi wetu
kukanusha huku akionesha picha halisi zinazomuonesha akiwa mbele.
Baada ya tuhuma hizo kumkabili Odama, Mwandishi wetu alimtafuta mwanadada
huyo wa filamu na ndipo
↧