Wengi walitegemea kuwa Aunt Ezekiel ataungana na mumewe Sunday katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini hali imekuwa ni tofauti....
Aunt anayetumia jina la Rahma baada ya kubadili dini ili aolewe na mwanaume huyo, amemtosa mkaka huyo na kuendelea kula bata nchini huku akidai kuwa mumewe hana mengi.
"Sina mpango wowote wa
↧