MWENYEKITI WA HALMASHAURI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA CHOONI
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Laurent Hoya, amefariki dunia ghafla jana alfajiri baada ya kuanguka chooni. Kifo hicho kimetokea nyumbani kwa marehemu Nkuhungu katika...
View ArticleMAMA BAGHDAD AMUOMBEA MSAMAHA MWANAE KWA CHID BENZ...AOMBA WAKUTANE PAMOJA NA...
Baada ya jana Chidi Benz kuweka wazi kuwa hategemei kumsamehe Baghdad kwa ‘blunder’ aliyoifanya ya kuwashirikisha yeye na Nay wa Mitego bila kuwaambia, mama mzazi wa Baghdad amekuja hadharani na...
View ArticleWANASAYANSI WAGUNDUA NJIA ZA KUCHAJI SIMU KWA MKOJO
Wanasayansi wa maabara ya Bristol Robotics Uingereza wamegundua njia ya kutumia mkojo kama chanzo cha kuzalisha umeme wa kuchaji betri za simu, na kudai kuwa wa kwanza kutengeneza “the world’s first...
View ArticleMZEE MAGALI WA BONGO MOVIE AKIMBILIA BONGO FLAVA
Mwaka 2013 utakuwa na surprise nyingi sana... So far tumeshapata surprise kibao ikiwemo ile ya jana ya promoter na Mkurugenzi wa Watanashati Entertainment, Ostaz Juma na Musoma kuingia kwenye hip hop...
View ArticleSEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA RAHA MWANAMKE
<!-- adsense --> Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa. Mapenzi au...
View ArticleSAKATA LA SISTA WA KANISA KATOLIKI ALIYEBAKWA NA KUNDI LA WANAUME WATATU
Sista aliye mafunzoni ametekwa na kubakwa kwa wiki nzima na kundi la wanaume watatu katika kile kinachohisiwa kuwa ni shambulio la kulipiza kisasi, vyombo vya habari nchini India vimeripoti. Sista huyo...
View ArticleMZEE MANDELA ASHEREHEKEA MIAKA 95 LEO HUKU AKIWA MAHUTUTI HOSPITALINI
Afrika Kusini leo wanasherehekea miaka 95 ya kuzaliwa kwa Mzee Nelson Mandela huku rais huyo wa zamani bado yuko mahututi hospitalini. Ilikuwa ikitabiriwa kwamba shujaa huyo wa vita dhidi ya ubaguzi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTAKA RAIS WA SUDAN AWASAKE WATU WALIOHUSIKA NA MAUAJI YA...
Rais Jakaya Kikwete amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Sudan, Omar Bashir, kuhusu kuuawa na kujeruhiwa kwa askari wa Tanzania, walioko katika ulinzi wa kimataifa wa amani katika jimbo la...
View ArticleWASTARA JUMA AANZA KUSAKA MUME WA KUMUOA BAADA YA KIFO CHA MUMEWE
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma amesema hana haraka ya kuolewa kwani anahitaji mume na si mwanaume wa kupita Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema kwa sasa yupo huru...
View Article"NIPO TAYARI KUPIGANA NA JACK WOLPER ENDAPO ATAENDELEA KULITUMIA JINA LANGU...
Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la ngumi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu lao. Akipiongea na mwandishi wetu, Baby alisema...
View ArticleFEZA WA TANZANIA AGONGANISHA MABWANA BAADA YA KUINGIA KUONGA NA NJEMBA IKIWA...
Shemeji yetu Mbotswana, Oneal amechukizwa na kitendo cha Feza Kessy kwenda kuoga na mwanaume mwingine. Jana jioni, Feza ilimlazimu amuombe msamaha mpenzi wake huyo aliyeoneshwa kuumizwa roho na kitendo...
View ArticleCCM YAPINGA KODI YA LINE ZA SIMU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekuja juu na kuitaka Serikali kuangalia njia nyingine mbadala ya kukusanya kodi na kuachana na mpango wa kuanza kuwatoza wananchi tozo ya Sh 1,000 kila mwezi kwa kila...
View ArticleHABARI ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA "TANZANIA DAIMA" KUHUSU UDINI WA LIPUMBA...
Habari iliyoandikwa na Gazeti la Tanzania Daima ikimhusisha Prof. Lipumba na udini imewachefua CUF na kuwafanya watoe waraka mkali wakiita Serikali kulichukulia hatua gazeti la Tanzania Daima kwa...
View ArticleDIAMOND "AWAPA MAKAVU" WATU WANAOCHUKIA MAFANIKIO YAKE....
Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka... Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameamua kutupia picha inayomuonyesha akianguka kutoka juu (angani) na kufikia...
View ArticleMASHABIKI WAMPONDA WEMA SEPETU BAADA YA KUYAANIKA MATITI YAKE MTANDAONI
“Did I miss a spot…? I dunno,” ni maneno ya Wema kwenye picha aliyoiweka leo katika mtandao wa Instagram. Hata hivyo mashabiki wengi wamemshambulia mrembo huyo kwa kile wanachohisi hakupaswa kuiweka...
View ArticleUCHAWI WAIBUKA TAZARA: NJIWA ATUA NA BARUA YA VITISHO OFISINI
Njiwa akiwa na ujumbe wa barua kama inavyo onekana Njiwa akiwa amedhoofu kwa Baridi akiwa katika choo cha wanaume Hii ni sehemu alipokutwa Njiwa huyo Majengo nje ya Ofisi ya Afisa Mwajiri Baadhi ya...
View ArticleVODACOM WAZINDUA CHARGER YA SIMU INAYOTUMIA MIONZI YA JUA
Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati … Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara...
View ArticleSERIKALI YASISITIZA KUWA "KODI YA LINE ZA SIMU" IKO PALE PALE
Waziri wa Fedha, William Mgimwa, amesisitiza uamuzi wa Serikali kuendelea kutoza Sh 1,000 kwa kila mwezi kwa laini ya simu, licha ya kampuni za simu na wanasiasa kupinga. Akizungumza na mwandishi juzi,...
View ArticleCHADEMA YAJITOA KUWANIA UMEYA WA ARUSHA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuachana na kuwania umeya wa Jiji na badala yake kimemwomba Meya, Gaudence Lyimo (CCM), atende haki. Katibu wa Kanda ya Kaskazini wa chama hicho,...
View ArticleWEMA SEPETU APANDISHWA KIZIMBANI KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUMTUKANA MENEJA...
KUNA kila dalili kwamba mrembo anayetamba kwenye filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu jela inamwita na anatakiwa kufanya maombi ili kukwepa kifungo maishani mwake. Hali hiyo inafuatia staa huyo...
View Article