KUNA kila dalili kwamba mrembo anayetamba kwenye filamu za
Kibongo, Wema Isaac Sepetu jela inamwita na
anatakiwa kufanya maombi ili kukwepa kifungo maishani mwake.
Hali
hiyo inafuatia staa huyo kupandishwa kizimbani kwa mara nyingine tena
Jumatano iliyopita, pale alipopanda katika Mahakama ya Mwanzo ya Kawe
jijini Dar kwa kosa la kumpiga na kumtukana matusi ya nguoni meneja wa
↧