Kufuatia kauli za Serikali magazetini
kuhusu mimi na kodi ya umiliki wa kadi za simu; nijibu tu kwa ujumla
kwamba SITAACHA. Badala yake naomba kuwapatia namba zao: Makamba
0767783996 na Mgimwa 0754/0684765644, tunachohitaji ni kauli ya
Serikali kuwa kodi imesitishwa na itaondolewa na sio siasa chafu.
Kwa mliotaka msimamo wangu juu ya kauli ilinukuliwa jana tarehe 18
Julai 2013 na
↧