Sista aliye mafunzoni ametekwa na
kubakwa kwa wiki nzima na kundi la wanaume watatu katika kile
kinachohisiwa kuwa ni shambulio la kulipiza kisasi, vyombo vya habari
nchini India vimeripoti.
Sista huyo
mwenye miaka 22 alidaiwa kutekwa kwenye stesheni ya treni na binamu zake
na kisha kushikiliwa mateka na kubakwa kwa zaidi ya siku kadhaa sababu
waliishutumu familia yake kwa kifo cha
↧