Afrika Kusini leo wanasherehekea
miaka 95 ya kuzaliwa kwa Mzee Nelson Mandela huku rais huyo wa zamani
bado yuko mahututi hospitalini.
Ilikuwa
ikitabiriwa kwamba shujaa huyo wa vita dhidi ya ubaguzi wa rangi kwamba
angeruhusiwa kwenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa lakini bado yuko
hospitali kutokana na kurejea maambukizi kwenye mapafu.
Kituo cha
Kumbukumbu ya Nelson Mandela na
↧